Sunday, October 27, 2013

IBADA LEO TAG CCC KARIAKOO

BABA ASKOFU DICKSON KAGANGA

WAUMINI WAKATI WA IBADA

WAUMINI WAKATI WA IBADA

WAUMINI

SHEKINA PRAISE AND WORSHIP TEAM

LAUNCHING OF CLASSIC WASH ROOM DONE AT KARIAKOO ZANZIBAR

Classic wash rooms have been launched today 27/10/2013 at TAG City Christian Center Kariakoo by the Bishop of TAG Zanzibar and the Chief Pastor at CCC Bishop Dikson Kaganga.
HERE IS FOR MEN

TO WASH THE HANDS


CORRIDOR


BISHOP GIVES SHORT HISTORY BEFORE LAUNCHING

PRAYERS SOON BEFORE THE PROCESS


BISHOP AND HIS WIFE MAMA ESTER KAGANGA LAUNCHING

BISHOP AND HIS CHURCH MEMBER

ZARES WAZINDUA RASMI VIDEO

 Kwaya ya Zanzibar Revival Singers imefanya uzinduzi wa nyimbo zao za sauti na picha leo tarehe 27 Octoba 2013 Uzinduzi huo umeongozwa na Baba Askofu Dickson Kaganga huku Mgeni rasmi akiwa ni mwakilishi wa Balaza la wawakilishi Zanzibar Mheshimiwa Marina Thomas na Harambee ya kuchangia ikiongozwa na Mtumishi wa Mungu MC Amos kutoka Dar-es-salaam

Askofu Dikson kaganga akimwongoza mheshimiwa Marina Thomas kuelekea kanisani
Baba Askofu Dikson Kaganga akiwaongoza wachungaji wa Zanzibar kuweka wakfu Albamu

Kwaya ya Zares wakijiandaa kuingiza kanisania
Umati ukifuatilia harambee hiyo


Mama Askofu Ester kaganga akifuatilia harambee












Wednesday, October 23, 2013

NAFASI YA CA's KATIKA HUDUMA MBALIMBALI

YUDA AKIHUDUMU UPANDE WA MITAMBO

KIJANA AKIHUDUMU UPANDE WA WATOTO WA SHULE YA JUMAPILI

WAUMINI MBALIMBALI WAKIFUATILIA IGIZO LA VIJANA

USIONE VINAELEA VIMEUNDWA MAFUNDI WAKIWA WANAHUDUMU UPANDE WA IT

Tuesday, October 22, 2013

HIVI NDIVYO CA'S WALIVYOHUDUMU JUMAPILI

Askofu Kaganga akifuatilia Ibada inayoendeshwa na CA's

Washirika wakifuatilia Ibada

Mhudumu wa CA's akiwa tayari kwa ajili ya huduma wakati wa Ibada

Askofu D. Kaganga akiagana na washirika baada ya Ibada

Sunday, October 20, 2013

SIKU YA VIJANA YAFANA TAG CCC KARIAKOO ZANZIBAR

Askofu Kaganga akipokea mtoto aliyeletwa mara ya kwanza kanisani

Washarika wakati wa sifa

Vijana na washirika wakati wa sifa

Askofu Kaganga na mkewe Ester Kaganga wakiwa na WanaCAC

Askofu akitoa neno la shukrani kwa vijana

Sunday, October 13, 2013

MAMIA WAKIWA IBADANI CCC KARIAKOO ZANZIBAR WATANO WAOKOKA

Pastor Solomoni

Washirika



Watoto wa shule ya jumapili

Team ya kusifu na kuabudu

Viongozi wa ibada
Mwimbaji binafsi akihudumu

Wageni na wongofu wapya

Sehemu ya washirika

Sunday, October 6, 2013

WANNE WAOKOKA LEO CCC KARIAKOO ZANZIBAR

Wageni waliofika kanisani hapa kwa mara ya kwanza kabisa

Waongofu wapya

Dada amepona kabisa vidonda vya tumbo kwa muda mrefu amesumbuliwa

Palikuwapo na huyu nae anamvisha pete mchumba


Thursday, October 3, 2013

ZAIDI YA 50 WAOKOKA 62 WABATIZWA CCC ZANZIBAR



Askofu Kaganga akitoa maelekezo kwa wongofu wapya

Siku ya mwisho ya mkutano

Askofu Kaganga na Askofu Simon Masunga wakiongoza maombi wakati wa mkutano

Mkutano wa siku 5 umekuwa wa mafanikio ya kiroho kufuatia watu zaidi ya 50 kuokoka na 62 kubatizwa katika Bahari ya Hindi