Thursday, October 3, 2013

ZAIDI YA 50 WAOKOKA 62 WABATIZWA CCC ZANZIBAR



Askofu Kaganga akitoa maelekezo kwa wongofu wapya

Siku ya mwisho ya mkutano

Askofu Kaganga na Askofu Simon Masunga wakiongoza maombi wakati wa mkutano

Mkutano wa siku 5 umekuwa wa mafanikio ya kiroho kufuatia watu zaidi ya 50 kuokoka na 62 kubatizwa katika Bahari ya Hindi

No comments:

Post a Comment