| ASKOFU DICKSON KAGANGA AKIABUDU IBADANI JANA |
| WAUMINI WAKIWA IBADANI |
| WASHIRIKA WAKIFUATILIA IBADA KWA UMAKINI JANA |
| WASHARIKA WAKIFIUATILIA |
| WAKATI WA IBADA YA KUABUDU |
| ASKOFU DICKSON KAGANGA AKIMKABIDHI MOJA YA MCHUNGAJI PIKIPIKI KWA AJILI YA UTUMISHI WA MUNGU KATIKA MAZINGIRA MAGUMU |
| ASKOFU DICKSON KAGANGA AKITOA MAELEZO MAFUPI KABLA YA KUGAWA PIKIPIKI HIZO |
| PIKIPIKI ZILIZOGAWIWA KWA WACHUNGAJI |
| ASKOFU DICKOSON KAGANGA NA MKEWE ESTER KAGANGA WAKIWA NA FURAHA BAADA YA MAOMBI YAO KWA MUNGU WAPEWE FEDHA YA KUNUNULIA PIKIPIKI KWA AJILI YA WACHUNGAJI |
| ASKOFU DICKSON KAGANGA NA MAMA ESTER KAGANGA WAKIKABIDHI FUNGUA KWA MCHUNGAJI MMOJA WAPO ALIYEPEWA PIKIPIKI KUTOKA KWA FAMILIA YA KAGANGA |
| MCHUNGAJI MSAIDIZI SOLOMON MWALE AKIKARIBISHA WASHIRIKA KWENYE IBADA YA KININGEREZA |
| DADA JENIPHA AKIHUBIRI KWENYE IBADA YA KIINGEREZA |
| MCHUNGAJI BIGAMBWA AKIMKARIBISHA MCHUNGAJI GEORGE BEMBE |
| MCHUNGAJI GEORGE BEMBE AKIHUBIRI |
| MCHUNGAJI GEORGE BEMBE AKISISITIZA JAMBO WAKATI WA MAHUBIRI |
| MWIMBAJI ZERRY ALIPEWA NAFASI YA KUTUHUDUMIA |
| VIONGOZI WA IBADA |
| MAMA ESTER KAGANGA AKIWAOMBEA BARAKA WASHARIKA WAKATI WA KUONDOKA KANISANI |
| ASKOFU KAGANGA AKIFUNDISHAA |
| ASKOFU KAGANGA AKISISITIZA JAMBO |
| ASKOFU KAGANGA AKIONGOZA MAOMBEZI KWA AJILI YA MTOTO ALIYELETWA HEKALUNI KWA MARA YA KWANZA |
| MCHUNGAJI BIGAMBWA AKISISITIZA JAMBO |
| MZEE DAVIS AKISOMA MATANGAZO |
| ASKOFU KAGANGA AKIFUNDISHA |
| SHEKINA WAKIHUDUMU |
| MCHUNGAJI MSAIDIZI SOLOMONI MWALE AKISISITIZA JAMBO KATIKA MAFUNDISHO |
| MCHUNGAJI MSAIDIZI MWALE AKIONGOZA MAOMBI |
| MAMA ASKOFU ESTER KAGANGA AKIHUDUMU |
| WAIMBAJI BINAFSI WAKIHUDUMU |
| MWIMBAJI AKIHUDUMU |
| MCHUNGAJI BEMBE G. AKIHUDUMU |