Sunday, February 2, 2014

CCC- KARIAKOO ZANZIBAR WAPATA WASHIRIKA WAPYA

WASHARIKA WAPYA WAKIWA NA ASKOFU DICKSON NA ESTER  KAGANGA BAADA YA UBATIZO

Kanisa la Tanzania assemblies of God City christian Centre leo limewakarikishwa washarika wapya 13.Washarika hao wamepokelewa leo na mamia ya washarika kanisani hapo.Kabla ya tukio hilo lilitanguliwa na Ibada ya Ubatizo wa maji mengi ambapo watu hao 13 walibatizwa  jana (1 February 2014) na Mchungaji Kiongozi wa CCC-Kariakoo hapa Zanzibar ambaye pia ni Askofu wa makanisa ya TAG Zanzibar Askofu Dickson Kaganga.
MCHUNGAJI KIONGOZI AKIWAPA MAFUNDISHO WANAOBATIZWA

WAKATI WA UBATIZO
WAKATI WA IBADA YA UBATIZO HUWA KUNAKUWA NA UDHIHIRISHO WA NGUVU ZA MUNGU

UHAKIKI NA MAFUNDISHO KABLA YA KUBATIZWA

No comments:

Post a Comment