Monday, April 7, 2014

WANAWAKE WAHUDUMU IBADA YA SIKU YA WANAWAKE CCC KARIAKOO ZANZIBAR

Wanawake jana waling'arisha sikukuu ya wanawake CCC Kariakoo Zanzibar.Katika siku hiyo ambayo huduma karibu zote ziliongozwa na wanawake na Ibada ilikuwa na nguvu.Ibada hiyo ilihudhuriwa na mamia ya waumini mbalimbali na wageni.
ASKOFU DICKSON KAGANGA AKISISITIZA JAMBO

WALIOTOA SHUKRANI

WAWAWAKE WAKIHUDUMU WAKATI WA SIFA

WAKATI WA UIMBAJI

WIMBO

VIONGOZI WA IBADA

PASTOR REBECA AKIHUBIRI

WAKITOA FEDHA YA KUMTENGEMEZA MCHUNGAJI

No comments:

Post a Comment