Monday, April 20, 2015

MAMIA WAKIWA IBADANI ZANZIBAR

Mamia ya washirika wa Kariakoo walihudhulia Ibada ya kusifu kuabudu na kujifunza neno la Mungu Kanisa la Tanzania Asemblies of God CCC kariakoo Zanzibar huku katika yao mmoja akimpa Yesu maisha yake.Ibada hiyo iliongozwa na Askofu wa makanisa ya Tanzania Assemblies of God zanzibar Dickson Kaganga Neno la Msingi katika mahubiri  yake ilikuwa kutoka Marko Mtakatifu sura ya 4.Katika mahubiri na mafundisho yake Baba Askofu aliwaasa washirika kuzaa matunda katika Yesu Kristo












No comments:

Post a Comment