Sunday, June 7, 2015

IBADA YA MAFUNDISHO YA ROHO MTAKATIFU CCC KARIAKOO ZANZIBAR

Bwana Yesu asifiwe.Ni kwa neema ya Mungu leo tulikuwa na Ibada mbili hapa kanisani kwetu.Ibada zote mbili zimehudhuriwa na mamia ya waumini mbalimbali kutoka hapa Zanzibar na wageni kutoka nje ya Zanzibar.Ibada zote mbili zilihudumuiwa na mtumishi wa Mungu Mwinjilisti wa kimataifa Dale Everett Kutoka Texas Marekani.Sifa na utukufu tunamrudishia Mungu.















No comments:

Post a Comment