Sunday, December 22, 2013

MAOMBI YA PFP WANNE WAOKOKA MAKUMI WAFUNGULIWA

Maombi ya PFP yanayomaliza awamu ya kwanza leo yamekuwa ya Baraka baada ya watu wanne kuokoka na makumi kufunguliwa dhidi ya vifungo vya giza(mapepo).Ibada hizo mbili ya Kiingereza na Kiswahili ziliongozwa na mchungaji kiongozi wa CCC na mkuu wa kanisa la TAG Zanzibar Askofu Kaganga.

WALIOOKOKA
MAMA ASKOFU KAGANGA AKIHUDU
WAUMINI
BABA ASKOFU D. KAGANGA AKIIMBA
BABA ASKOFU KAGANGA AKIOMBEA WASHIRIKA NA MUNGU AKIDHIHIRISHA UWEPO WAKE KWA WATU KUFUNGULIWA MAPEPO

No comments:

Post a Comment